MSIMAMO: KUNDI A -Kila Timu imecheza Mechi 3 Namibia Pointi 7 Zimbabwe Pointi 6 Mauritius Pointi 3 Seychelles Pointi 1 ...
MCHEZAJI JOHN BOCCO AFICHUA SIRI YA TAIFA STARS KUVURUNDA
Nikiwa kama mchezaji waki TANZANIA ninaecheza ligi ya hapa nyumbani na nikiwa mmoja wa wachezaji katika Timu ya Taifa ya kizazi hi...
WAWILI WAJITOA, UCHAGUZI FIFA
Wagombea wawili kati ya wanne waliojitokeza kuwania nafasi ya urais wa shirikisho la vyama vya soka Duniani FIFA wamejitoka ka...
PART 3 : ADEBAYOR KATUPA TENA STORY YA FAMILIA YAKE…WALITAKA KUMUUA KISA PESA.
Leo nimeamua kuleta part 3 ya story yangu. Hii ni kwasababu kaka yangu Kola Adebayor na ndugu zangu wameamua kuzungumzia mambo ya famil...
MAN U KUMWAGA MACHOZI KWA HUMMELS
Beki wa kimataifa wa Ujerumani, Mats Hummels ametangaza hana nia ya kujiunga na magwiji wa ligi Premier Uingereza, Manchester United na...
JULIO AMWAGA WINO MWADUI FC YA SHINYANGA
Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ni rasmi sasa amerejea katika klabu aliyoipandisha daraja ya Mwadui FC ya Shinyanga baada ya kumalizana na ...
TFF KUKUTANA JUMAPILI, KUMJADILI KOCHA NOOIJ
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka (TFF), inatarajiwa kukutana jumapili tarehe 24, Mei mwaka huu ikiwa ni kikao cha ...
MALINZI:KUVUNJIKA KOLEA SIO MWISHO WA UHUNZI,BAADA YA STARS KUFUNGWA
Timu ya taifa ya Tanzania imetolewa kwenye michuano ya Cosafa baada ya kufungwa mfululizo na...
STARS WALIENDA KUTALII COSAFA BAADA YA KUFUNGWA MECHI MBILI NA TIMU DHAIFU,RATIBA/MATOKEO COSAFA
Taifa Stars imefungwa mabao 2-0 na Madagascar na kutolewa katika michuano ya Cosafa. Stars imeonyesha kiwango cha chini na kupoteza mch...
STARS KUWAVAA MADAGASCAR JIONI HII
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) muda huu inashuka dimbani kucheza mchezo wake wa pili dhidi ya timu ya Taifa kutoka Madagasc...
CITY WAKUBALI SINCLAIR ASALIE VILLA
Aston Villa wamemchukua kiungo wa kati wa Manchester City Scott Sinclair kwa mkataba wa miaka minne baada yake kufana akiwa huko kwa mkop...
WENGER MACHO KUEPUKA 'AJALI'
Arsene Wenger amehimiza vijana wake wa Arsenal waepushe ajali nyingine na kuhakikisha kwamba wanamaliza Ligi ya Premia vyema. Gunners ...