Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utaka...
SIMBA VS YANGA,TAKWIMU ZAO MISIMU MITATU SIMBA HOI MBELE YA YANGA
MECHI 5 ZILIZOPITA ZA MISIMU MITATU: Yanga 1-1 Simba Simba 0-2 Yanga Simba 3-3 Yanga Yanga 1-1 Simba Yanga 0-0 S...
CHELSEA YANG'ANG'ANIA KILELENI
Ligi Kuu ya England hiyo ilitimua vumbi tena usiku wa kuamkia Alhamisi kwa viwanja saba kuumia nyasi ambapo vinara wa ligi hiyo,...
RATIBA $ MATOKEO LIGI KUU YA UINGEREZA KWA SAA ZA TANZANIA
2245 Aston Villa 2 v 1West Brom 2245 Hull 1 v 1 Sunderland 2245 Southampton 1 v 0 Crystal Palace J...
ORODHA YA MABILIONEA KUMI DUNIANI WENYE ASILI YA AFRIKA.
Wadau wa Forbes wamekuja na ripoti yao nyingine ya utaftii ndani ya 2015, kama haujafahamu ni kwamba idadi ya matajiri wenye asili ya...
TFF IMEZISHUSHA DARAJA TIMU MBILI ZA RUKWA NA MOROGORO
Timu za Ujenzi Rukwa na Volcano FC ya Morogoro zimeshushwa madaraja mawili hadi ligi za wilaya baada ya kushindwa kufika uwanjan...
TIKETI ZA ELEKTRONIKI ZASIMAMISHWA
Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zi...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA KWA SAA ZA TANZANIA
2245 Aston Villa v West Brom 2245 Hull v Sunderland 2245 Southampton v Crystal Palace Jumatano Machi 4 2245 Man ...
AZAM YAVUNJILIA MBALI BENCHI LA UFUNDI LA TIMU HIYO
Azam FC imetangaza kumfukuza kazi Kocha Joseph Omog raia wa Cameroon na Msaidizi wake, Ibrahim Shikanda ametimuliwa na mikoba amepew...
RATIBA LIGI KUU YA TANZANIA KUENDELEA JUMATANO
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi katika viwanja vitatu tofauti siku ya jumatano, Mkoani Morogoro katika uwanja w...
TFF YATUMA SALAM ZA PONGEZI FMF
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 31 TAREHE 02 MACHI 2015 Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini –TFF Bw. Jamal Malinz...
MIKEKA YAUA SHABIKI UGANDA
MKAZI wa Kakiika wilayani Mbarara nchini Uganda, Deus Ruhinda amejinyonga baada mkeka wake kuchanika kufuatia Arsenal kufungwa b...
*TASWA KUSHIRIKI MKUTANO WA 78 WA CHAMA CHA KIMATAIAFA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO AIPS
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kinatarajia kushiriki kwenye Mkutano Mkuu wa 78 wa Chama cha Kimataifa cha...