Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



 TAREHE,04-04-2014
Timu ya soka ya Maji Maji Toka Songea Mjini wameanza kufanya usajili
kimya kimya ili kuhakikisha inapata wachezaji wazuri msimu ujao.

Akizungumza na JELAMBA VIWANJANI,Meneja wa timu hiyo God Mvula alisema
baadhi ya wachezaji ambao wapo kwenye mawindo ni saidi Baanunzi toka
yanga,Aruna Moshi,Juma  nyoso Pamoja na Mlinda mlango Amani Simba
wachezaji ambao wataimalisha timu hiyo kutokana na uzoefu wa wachezaji
hao.

"Tumevunja kambi kwa kipindi kifupi kabla ya kuwarudisha tena kambini
ili kuwapa wachezaji likizo huku sisi tukiangaika kuwapata wachezaji
wazuri ambapo wataisaidia timu ya Maji Maji na tayari tumeshanza
Mazungumzo na baadhi ya wachezaji mahili hapa nchini kwaajili ya
usajili na mazungumzo yamefikia pazuri.

Chapisha Maoni