hayo yamejili wakati alsenal ikiwa katika maandalizi mazito ya kukabiliana na Everton katika uwanja goodsorn park siku ya jumapili[ligi kuu ya uingereza] kabla ya kukiputa katika Kombe la FA nusu fainali dhidi ya Wigan, Wembley.
kwa sasa mkataba wa wenger unafikia kikomo, wenger bado ajasema lolote kuhusu kuaongeza au kustaafu, mashabiki wamegawanyika katika matabaka kama ifuatavyo;-
Arsenal kushinda Kombe la FA na kumaliza katika top 4 na wenger kubaki kama meneja, juu ya mkataba wa miaka 2-3= 59%
Kukaa kama meneja, mkataba wa mwaka 1=, 9%Kuondoka katika wadhifa wake wa usimamizi 32%
Je, Arsenal kushindwa kuchukua Kombe la FA, lakini kumaliza katika top 4 juuKukaa kama meneja, mkataba 2-3 47%
Kukaa kama meneja, mkataba wa mwaka 1= 14%
Kuondoka katika wadhifa wake wa usimamizi 39%
Chapisha Maoni