Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



kanon
Inaaminika kuwa mwanaume bila mwanamke hajakamilika!
Ukiona mwanaume anafanikiwa ujue nyuma yake yupo mwanamke, hata kwa wanawake ni vivyo hivyo!
Ili kujikamilisha, beki wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anacheza Kagera Sugar, Salum Kanoni ameoa mke na kuachana na maisha ya ukapera.
Kutokana na tukio hilo takatifu, kipa wa Simba aliyemaliza mkataba wake, Ivo Mapunda amekiri kwamba alipata kadi ya mwaliko ya kanoni na kuahidi kumcheki, lakini akamalizia kwa kumpa Hongera.


Chapisha Maoni