Na Ally Ruambo. TIMU ya Vijana chini ya miaka 12 kutoka wilayani kilwa wanatarajiwa kuondoka nchini kuelekea nchini Finland...
TRA YASHUSHA RUNGU KWA KWA TIMU ZA TANZANIA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeviagiza vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu ya nchini (mpira wa kulipwa) Tanzania, kuhakikisha kuwa ...
TANZANITE KUJA KIVINGINE
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) Tanzanite Stars, imeingia kambini jana jioni Mband...
CHELSEA KUMTOA OSCAR NA PAUNI MILIONI 30 KWA JUVENTUS ILI KUMNASA PAUL POBGA
Chelsea itamtoa kiungo wake Oscar pamoja na pesa kama sehemu ya dili la kumpata kiungo wa kimataifa wa Ufarasansa...
MANCHESTER UNITED KUFANYA USAJILI WA KISHINDO
Van Gaal yupo tayari kumwaga pesa kwenye usajili wa kiangazi hiki huku Jasper Cillessen, Sergio Ramos, Bastian Schweinsteige...
RATIBA MATOKEO COPA AMERIKA
COPA AMERICA RATIBA/MATOKEO: Saa za Bongo Alhamisi Juni 11 KUNDI A Chile 2 Ecuador 0 Ijumaa Juni 12 KUNDI A Mexico 0 ...
BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI BILA NYOTA WAKE
Thiago Silva aliyenyang’anywa unahodha wa Brazil alianza kuifungia Brazil goli la kwanza zikiwa zimepita dakika tisa tu tangu kuan...
MKWASA,MROCCO WAULA STARS KUFA KUFAHANA
KUFUATIA kutimuliwa kwa Kocha Mart Nooij, nafasi yao wanapewa wazawa wawili, Charles Boniface Mkwasa ambaye ni kocha msaidizi wa Yanga n...
TFF WAMEAANZA NA BENCHI LA UFUNDI,YAMFUKUZA KAZI MAART NOOIJ
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine kilipitia mwenen...
WIMBO MPYA [GOSPAL] WA SILVABEL FT THE MELODIANS,HUU HAPA
SILVANUS ABEL MSUYA,NO 0717499962 ILI KUPATA WIMBO HUU
MAJI MAJI KUINGIA KAMBINI MWENZI UJAO
Na Alex Mapunda,Iringa MAJI MAJI ya songea inatarajia kuingia kambini mapema mwenzi ujao ili kujiwinda na mshike mshike wa ligi kuu...