Makundi ya UEFA Champions League yanakaribia kupangwa kutoka kwenye pot 4 ambazo zimetangazwa leo hii. Moja ya club ya EPL ina nafasi kubwa ya kukutana na Barcelona kwasababu club kutoka kwenye nchi moja haiwezi kuweka Vs zenyewe. Barca inaweza kucheza Vs Arsenal,City,United,Leverkusen au Porto kwenye Pot 2.
Pia kuna uwezekanao wa kutokea Super Group ambapo Barcelona inaweza kupangwa na Manchester United, Roma na Wolfsburg. Pia kuna uwezekano Chelsea wakapangwa na Real Madrid,Roma na Wolfsburg.
Hizi ndio pot 4 ambapo yatapangwa magroup.
Pot 1: Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Juventus, Paris Saint-Germain, Benfica, Zenit St Petersburg, PSV Eindhoven
Pot 2: Real Madrid, Atletico Madrid, FC Porto, Arsenal, Manchester United, Valencia, Bayer Leverkusen, Manchester City
Pot 3: Shakhtar Donetsk, Sevilla, Lyon, Dynamo Kiev, Olympiakos, CSKA Moscow, Galatasaray, AS Roma
Pot 4: BATE Borisov, Borussia Monchengladbach, Vfl Wolfsburg, Dinamo Zagreb, Maccabi Tel-Aviv, Gent, Malmo, FK Astana
TAREHE MUHIMU:
-Droo Hatua ya Makundi: Agosti 27
-Ratiba Mechi za Makundi:
Mechidei 1: 15/16 Septemba
Mechidei 2: 29/30 Septemba
Mechidei 3: 20/21 Oktoba
Mechidei 4: 3/4 Novemba
Mechidei 5: 24/25 Novemba
Mechidei 6: 8/9 Decemba
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy
Chapisha Maoni