Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Bondia nyota toka Ufulipino,
Manny Pacquiao sasa
atarejea baada ya matibabu
ya bega.
Awali alifanyiwa upasuaji baada ya
kupoteza pambano dhidi ya Floyd
Mayweather. Lakini alipigana baada ya
kuwa ameumia bega mazoezini.
Lakini sasa amefanyiwa
kipimo maalum cha MRI na
inaonekana mambo yako safi.
Baada ya hapo, maana yake
PacMan ana uwezo wa kurejea
na kupambana.
Taarifa zinaeleza, bondia
wa kwanza ambaye anatarajia
kuzichapa naye ni
Muingereza Amir Khan.
Kuna taarifa ya mazungumzo
ya awali kuhusiana na
mabondia hao kupanda ulingo
mmoja zimeanza.



Chapisha Maoni