Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini
Zimbabwe wamedaiwa kukizama kituo kimoja
cha cha redio.
Mkuu wa kituo cha cha YA FM ,Munyaradzi
Hwengwere, ameliambia gazeti la la serikali
Chonicle kwamba kundi la nyani lilikula nyaya za
fibre optic katika radio hiyo wakati wa kipindi cha
asubuhi na kukilazimu kukosa kwenda hewani
kwa saa moja.
''Tulibaini kwamba mnara wetu wa kurusha
matangazo ambao uko juu ya mlima ulikuwa
umevamiwa na nyani. Niliarifiwa kwamba
kulikuwa na zaidi ya nyani watano ambao
walikula nyaya hizo za kurushia
matangazo.Tulipowasili katika mnara huo
tuliwaona nyani hao wakitoroka'',alisema



Chapisha Maoni