Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Cristiano Ronaldo hapo Jana wakati
Real Madrid inaichapa Malmo 2-0 kwenye Mechi
ya Kundi A Uefa,amefikisha Jumla ya Magoli 501 katika
maisha yake ya Soka.
Ronaldo amecheza Jumla ya Mechi 753 kwa
Real, Man United, Sporting Lisbon na Nchi yake
Portugal.
Miongoni mwa hizo Bao 501 ni Mabao 323
aliyoifungia Real katika Mechi 308 na kumfanya
afungane na Mfungaji Bora katika Historia ya
Real, Raul, ambae alichukua Mechi 400 zaidi ya
Ronaldo kufikia idadi hiyo.
RONALDO- Rekodi:
-Hetitriku 37
-UCL: Mfungaji Bora Bao 82 (5 zaidi ya Lionell
Messi)
-Portugal: Bao 55 Mechi 122
-Penati: Bao 81
-Frikiki: Bao 45
-Man United: Bao 118
-Sporting Lisbon: Bao 5



Chapisha Maoni