Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


SIKIA HII Listi ya FIFA ya Ubora Duniani iliyotolewa
Leo, Argentina wamebakia Namba 1 huku
Mabingwa wa Dunia Germany wakipanda na
kukamata Nafasi ya Pili wakati Tanzania imebaki
pale pale Nafasi ya 140.
Kwenye 10 Bora, Belgium imeshuka na kushika
Nafasi ya Tatu, Portugal wamepanda hadi Nafasi
ya 4 na Spain kurudi 10 Bora baada ya Miezi
Mitatu na sasa wapo Nafasi ya 6 baada kupanda
Nafasi 5.
Kwa Afrika, Timu ya juu bado ni Ivory Coast na
imebakia nafasi yake ile ile ya 21 ikifuatiwa na
Ghana walio Nafasi ya 25.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa Tarehe
5 Novemba 2015.
10 BORA:
1 Argentina
2 Germany
3 Belgium
4 Portugal
5 Colombia
6 Spain
7 Brazil
8 Wales
9 Chile
10 England



Chapisha Maoni