KITABU CHA KWANZA KINACHOELEZA KWA KINA HISTORIA YA KLABU YA SIMBA TANGU 1920 HADI SASA Kitaifa
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, BLOGU NA TOVUTI (16.07.2014) Historia ya Klabu ya Simba Tangu 1920 hadi 2014 Mwandishi: Mwina ...
Diego Costa ajiunga na Chelsea
1 Mshambulizi wa Atletico Madrid,Diego Costa hatimaye amejiunga na klabu ya Chelsea kwa miaka mitano ijayo. ...
KIMONDO YATANGAZA WACHEZAJI AMBAO WATAENDELEA KUITUMIKIA TIMU HIYO
Sophia Mwaipyana,Mbeya Timu ya kimondo Sc ya wilayani mbozi mkoani hapa inayoshiriki ligi daraja la kwanza imewataja ...
MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU KESHO
Na Boniface Wambura, RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho (Julai 17 mwaka huu) kwa wadau mbal...
WAAMUZI 30 DAR KUNUFAIKA NA FIFA
Na Boniface Wambura SEMINA na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa waamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira ...
makala,, MBWANA MAKATA. Kufukuzwa kazi City Council,maumivu ya Enka vilichangia kuondoka Yanga .
Mbwana Makata. MBWANA makata ni miongoni mwa mlinda mlango bora ambaye alifanikiwa kutikisa soka la Tanzania miaka ya 1...
Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata kuwasili jumatano
Na Boniface Wambura WASHAMBULIAJI Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wan...
Luiz Felipe Scolari abwaga manyanga
Ripoti kutoka nchini Brazil zinasema kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameac...