Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


azimio la Manchester City kutwaa kombe la ligi  ya Uingereza limeitiwa doa baada ya timu hiyo kutoka sare ya 2-2 dhidi ya Sunderland.
Bao la kwanza lilipachikwa wavuni na Fernandinho kunako dakika ya 2.
Man City 2-2 Sunderland

Ratiba ya Man City

  • Mon 21 April: v West Brom (H)
  • Sun 27 April: v Crystal Palace (A)
  • Sat 3 May: v Everton (A)
  • Wed 7 May: v Aston Villa (H)
  • Sun 11 May: v West Ham (H)
Sunderland ilisawazisha kunako dakika ya 73 na kuongeza lingine dakika kumi baadaye kupitia kwa mchezaji Wikham.

Nasri ndiye aliyemuokoa kocha Manuel Pelligrini aibu ya kushindwa alipofunga bao la kusawazisha kunako dakika ya 88 ya mechi hiyo.

Kutokana na matokeo hayo Pelligrini sasa anategemea matokeo ya vinara wa ligi hiyo Liverpool na Chelsea kubaini matumani yake ya kutwaa taji la mwaka huu.
 

English Barclays Premier League | LOGS

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Liverpool34245593425177
2Chelsea34236566244275
3Manchester City33225688345471
4Arsenal34207759411867
5Everton34199655342166
6Tottenham Hotspur34186104848060
7Manchester United331761056381857
8Southampton34139125045548
9Newcastle United34144163852-1446
10Stoke City341110133848-1043
11Crystal Palace34124182741-1440
12West Ham United34107173847-937
13Hull City33106173440-636
14Aston Villa3397173549-1434
15Swansea City3489174550-533
16West Bromwich Albion33615124051-1133
17Norwich City3488182653-2732
18Fulham3493223474-4030
19Cardiff City3478193064-3429
20Sunderland3368193156-2526


Chapisha Maoni