HABARI zilizovunjika vunjika za kuaminika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kinasema kuwa,Yanga imeamua kumsajili Dany Mrwanda kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea polisi ya Moro ili kuchukua nafasi ya Said Bahanuzi aliyetolewa kwa mkopo kwenda Polisi Morogoro wakati Jerry Tegete akiwa ni majeruhi, na mshambuliaji pekee wa ndani aliyebaki tegemeo akiwa ni Hussein Javu.
Endelea kusoma jelamba viwanjani kwa habari zaidi.
Chapisha Maoni