Mabondia Siwatu Elieta kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Zulfa Macho wakati wa fainali za mchezo wa masumbwi Macho alishinda kwa point mpambano huo
Mabondia latifa Halidi kushoto wa
Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa kutupiana
makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi yaliyomalizika mwishoni
mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia latifa Halidi kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS
Mfanya biashara na mdau na promota maarufu nchini Zahoro Maganga
akisalimiana na bondia
wakati wa
fainali
ya mashindano ya taifa
Chapisha Maoni