Jackson Mayanja wa Kagera Sugar ambaye mechi ijayo kikosi chake kitakuwa wageni wa Ndanda mjini Mtwara, Jumamosi alisema anajua ug...
YANGA YATUA TUNISIA TAYARI KUPEPETANA NA WAHARABU
Yanga imetua salama salimini nchini Tunisia kwa ajili ya mechi yake ya pili ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Etoile du Sahel. Ka...
MENEJA WA LEICESTER CITY AMTUKANA MWANDISHI KWA KUWITA PUNGUANI
Meneja wa Leicester City, Nigel Pearson amemshambulia kwa matusi Mwandishi wa habari akimfananisha na ndege aina ya mbuni. Pears...
MAYWEATHER HAKUTAKA HILI PAMBANO
Kocha wa bondia Manny Pacquiao ,Freddie Roach ana wasiwasi huenda bondia Floyd Mayweather asitokeea kwenye mpambano wa mei 2. Ro...
SIMBA YAAMRIWA KUWALIPA MAMILIONI CHANONGO NA TAMBWE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 64 TAREHE 30 APRILI 2015 SIMBA WATAKIWA KUMLIPA CHANONGO MIL 11 Klabu ya S...
CHELSEA BADO MECHI MOJA KUNYAKUA NDOO
Chelsea walitoka nyuma na kuilaza Leice...
YANGA VS ETOILE DU SAHEL,LIGI KUU YA VODACOM SIMBA VS AZAM FC JUMAPILI
KOMBE LA SHIRIKISHO[JUMAMOSI] 16:00 Etoile Du Sahel Vs YANGA RARIBA LIGI KUU YA VODACOM JUMAMOSI TAREHE 02 16:00 NDA...
RATIBA/MATOKEO:HISPANIA
RATIBA/MATOKEO: Saa za Bongo Jumatatu Aprili 27 Valencia C.F 4 Granada CF 0 Jumanne Aprili 28 FC Barcelona 6 Getafe CF 0 ...
YANGA YALISHITAKI GAZETI LA DIMBA
Uongozi wa Yanga ambao ni mabingwa wapya wa Tanzania Bara umetangaza kufungua kesi ya madai dhidi ya gazeti la Dimba ukitaka kulipwa fidia...
ARSENAL HAWATAKI UBIGWA
Afisa mkuu mtendaji wa Arsenal, Ivan Gazidis ametangaza wana Gunners lengo lao muhimu zaidi si kunyakua kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya....
PACQUIAO KUMCHAKAZA MAYWEATHER MAY 2
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya dunia kushuhudia mpambano wa karne wa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao,Bondia wa Ufilip...
WASHAMBULIAJI WA BARCA HAWASHIKIKI
Kocha wa Barcelona, Luis Enrique amesisitiza hakuna timu yoyote duniani inaweza kumudu makali ya washambuliaji wake nyota, Lionel Messi,...
LIGI YA MABINGWA WA MIKOA SASA MEI 9
Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) sasa itaanza Jumamosi Mei 9, 2015 badala ya Jumamosi Mei 2, 2015 kama ilivyokua imetangazwa aw...
KIPA STAND, NDANDA WAFUNGIWA MECHI TATU, RUVU YATWANGWA FAINI, MWAMUZI AONDOLEWA
Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadil...