Magari ya Mayweather yakiwa yamepaki nje ya klabu yake ya ngumi, MBC
Magari hayo ni pamoja na Ferrari 458 Italia ($300,000), Bugatti Veyrons mbili (kila moja dola milioni 1.5) na convertible Bugatti (dola milioni 2.5) na Koenigsegg yenye thamani ya (dola milioni 4.8.)
Floyd alifika kufanya mazoezi akiendesha gari aina ya Koenigsegg yenye thamani ya dola milioni 4.8. Kuna gari mbili tu za aina hiyo duniani.
Mayweather akiwasili katika klabu yake ya ngumi mjini Las Vegas, Nevada
Chapisha Maoni