UEFA CHAMPIONZ LIGI RAUNDI YA MWISHO YA MCHUJO Marudiano Jumatano Agosti 26 Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku K...
SIMBA YALETA MASHINE ZINGINE KWA MAJARIBIO, IPO YA KUTOKA MALI
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Mali, Makan Dembele amewasili nchini kwa majaribio ya kujiunga na klabu ya Simba SC. Makan na mshambuli...
TAIFA STARS KUVAANA NA IRAQ KESHO
Sasa ni uhakika kikosi cha Taifa Stars kesho jioni kinashuka dimbani kuivaa timu ya taifa ya Iaraq. Stars itacheza na Iraq ...
VIKWAZO 9 KWA CR7 NDANI YA REAL MADRID
1; Kuwa mfungaji bora katika historia ya Real Madrid. 2;Kuwa mfungaj bora wa muda wote katk historia ya Madrid. 3; Kuvunja r...
VIWANJA VICHACHE VIMEKAMIRIKA,LIGI KUU YA VODACOM
Mtendaji mkuu bodi ya ligi Bornface Wambura amesmea kuwa mpaka sasa viwanja saba vimeshaklamilika tayari kwa ligi kuu ya msimu hu...
NOMA SANA,WATUNISHA MISULI 33 KUCHUANA AGOST 29
Zaidi watunisha misuli 33 kutoka mikoa ya dsm, Mbeya, Zanziba, moshi pamoja na kilimajaro wanatarajia kushiriki kwenye m,ich...
NEYMAR YUPO KWENYE RADA ZA MACHESTER UNITED MVUTANO MKALI
Manchester united wanataka kulipa paundi milioni 140
UWANJA WA MAJI MAJI TAYARI KWA LIGI KUU
Na Alex Mapunda,Iringa UKARABATI wa uwanja wa Maji Maji Mkoani Ruvuma umeshakamirika na Tayari TFF imetoa mkono wa Baraka kwa Maji Maji...
ONESMO NGOWI AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA LULU KAYAGE
Rais wa I.B.F Africa Onesmo Ngowi kulia akimkabidhi vifaa vya mchezo wa ndondi bondia Lulu Kayage baada ya kutembelea ofisi za ra...
MATOKEO $ RATIBA LA LIGA
MECHI ZA UFUNGUZI MSIMU RATIBA/MATOKEO: Saa za Bongo Ijumaa Agosti 21 Malaga CF 0 Sevilla FC 0 Jumamosi Agosti 22 Deportivo ...
MATOKEO $ RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA
LIGI KUU ENGLAND MATOKEO: Jumapili Agosti 23 West Brom 2 Chelsea 3 Everton 0 Man City 2 Watford 0 Southampt...
TWIGA STARS YABANIWA ZANZIBAR NA WAKENYA
Timu ya taifa ya soka la wanawake Twiga Stars leo wameenda sare ya goli 1-1 na timu ya taifa ya soka la wanawake wa Kenya (Harambee...
MATOKEO LIGI KUU YA UINGREZA LEO MAN CITY YACHINJA
English Barclays Premier League Watford 0 - 0 Southampton Vicarage Road Everton 0 - 2 Manchester City Goodison Park West Bromwich Alb...
WEST BROM 2-3 CHELSEA:PEDRO NOMA
+25 Pedro shoots for the opening goal on his Chelsea debut after signing for the club from Barcelona in a £21million transf...
RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM MECHI ZA UFUNGUZI SEPTEMBA 12
LIGI KUU VODACOM RATIBA-Mechi za ufunguzi Jumamosi Septemba 12 Ndanda v Mgambo Shooting (Nang’wanda - Mtwara) African Sports...
NDONGA:BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifa...