LIGI KUU ENGLAND Mechi za Kwanza Msimu mpya 2015/16 Saa za Bongo Jumamosi Agosti 8 1445 Man United v Tottenham 1700 Bourn...
MASKINI ZUTTAH ATEMWA YANGA KAMA UTANI NAFSI YAKE APEWA RAIA WA TOGO
Yanga imemtema beki Joseph Zuttah ‘Teteh’ raia wa Ghana. na sasa nafasi yake inachukuliwa na beki raia wa Togo Vicent Bossou. Wa...
MIZENGWE YA KUPANGUA RATIBA SASA IMEAMIA KWENYE DIRISHA LA USAJILI SASA NI AGOSTI 20 BADALA YA LEO SAA SITA USIKU
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesogeza mbele kufungwa kwa dirisha la usajili wa wachezaji kwa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), ...
29 WAITWA STARS MAANDALIZI YA NIGERIA
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa leo ametangaza kikosi cha wachezaji 29 watakaongia ...
SABABU TANO ZINAZOMFANYA JOHN BOKO AWE MCHEZAJI BORA WA AZAM WA MODA WOTE
Kwa nini John Bocco ‘Adebayor’ anatajwa kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote wa AzamFC? Mchezaji pekee ambaye amecheza Azam FC tangu...
TFF YASAINI ‘DILI’ NONO LIGI MSIMU UJAO
Shrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesaini mkataba mpya wa miaka mitatu (3) wa udhamini wa ligi kuu Tanzania bara kuanzia ...
ARSENAL YANYAKUA NGAO YA JAMII,CHELSEA HOI
KOCHA wa Arsenal amefuta uteja Baada ya kuifunga Chelsea bao 1-0 na kunyakua ngao ya Jamii. Bao pekee la Arsenal limewekwa kimiani na...
AZAM FC BINGWA WA KAGAME CUP 2015 BAADA YA KUIFUMUA GORMAHIA BAO 2-0
IMEKUWA KWELI,Azam FC iumeifunga Gor Mahia kwa mabao 2-0 na kubeba ubingwa wa Kagame wakiwa hawajafungwa hata bao moja. Mwaka...
KIVUMBI NA JASHO ARSEMAL VS CHELSEA NGAO YA JAMII LEO SAA 11 JIONI KWA SAA ZA BONGO......pata takwimu dondoo kuelekea katika mchezo huo
LEO ndio rasmi Msimu mpya wa Soka huko England unafunguliwa kwa Mechi maalum ya kugombea Ngao ya Jamii kati ya Mabingwa wa England Chels...
AZAM VS GORMAHIA BUKU TATU TU MLANGONI FAINALI YA KAGAME CUP LEO
Michuano ya Vilabu Bingwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kufika tamati kesho jumapili katika uwa...