MSIMAMO: KUNDI A Kila Timu imecheza Mechi 2 1 Chile Pointi 4 2 Bolivia 4 3 Mexico 2 4 Ecuador 0 KUNDI B **Kila Timu ime...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA 2015-2016
Msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2015-2016 maaufu kama EPL unatarajia kuanza kutimua vumbi mwezi Agosti 8 mwaka huu kwa vilabu ...
MESSI AUMIZWA NA ARGENTINA
Nyota mkubwa na nahodha wa Argentina, Lionel Messi ameonya wenzake ni lazima washinde mechi yao dhidi ya mabingwa Uruguay katika kipute...
KICHWA CHA MWENDA WAZIMU STARS 3-0,NAFSI YA 127 DUNIANI
TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars) jana usiku imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada y...
MEMPHIS DEPAY NI MCHEZAJI HALALI WA MANCHESTER UNITED KWA POUNDI 25
+7 Kinda huyo wa umri wa miaka 21, Depay alivumishwa mno na kuhamia Liverpool, lakini Van Gaal, ambaye alifanya kazi na ...
STARS WAPO MISRI TAYARI KWA KIPUTE
Msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania (taifa Stars) inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro Premium Lager tayari umewasili salam...
MSUVA AKOMBA TUZO MBILI
Wazazi wa Simon Msuva wakiwa wameshika tuzo ya mtoto wao mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo na Mh. Juma Nkamia Simon Msuva ameibuka...
HAYA NDIO MAAMUZI YA SIMBA JUU YA SAKATA LA MESSI BAADA YA KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI
na mtandao wa dauda BAADA ya kikao cha kamati ya utendaji ya Simba kilichofanyika jana, Rais wa klabu hiyo, Evans Elieza Aveva am...
NGUMI KUFANYIKA TENA BAGAMOYO JUMAPILI JUNI 14
Na Mwandishi Wetu MPAMBANO mkali wa masumbwi unatarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii juni 144 katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo m...
KOMBE LA DUNIA ,ENGLAND YAANZA VIBAYA
Timu ya taifa ya wanawake ya England imeanza vibaya mashindano ya kombe dunia kwa upande wa wanawake yanayoendelea nchini Canada, kwa ...
SAKATA LA MESSI TFF YATIA MKONO
TFF YAAMUA KULIINGILIA SUALA SIMBA, MESSI, YAWAITA JUMANNE FUNGUA HAPA
KUFA KUPONA FAINALI YA UEFA JUVE VS BARCA HUKO UJERMANI
OLYMPIASTADION, BERLIN, GERMANY FAINALI: JUMAMOSI MEI 6, OLYMPIASTADION, BERLIN, GERMANY, SAA 3:45 USIKU, SAA ZA BONGO ...
RAHEEM STERLING KUELEKEA OLD TRAFFORD
Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo mchezaji huyo mwenye umri wa ...
SAKATA LA MESSI WA SIMBA KAZI IPO STORI YOTE HII HAPA.
STORI BY JELAMBA VIWANJANI,SALEH JEMBE NA SHAFFIH.COM Sakata la kiungo Ramadhani Singano ‘Messi’ limechukua sura mpya baad...