Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 
BAADA ya kuvuna pointi 18 katika mech sita za iliguu ya uingereza wachambuzi wa soka wameanza kuitabilia united kuchukua  ubingwa wa uingereza msimu huu.
 
Mchezaji na Kocha wa zamani wa Man United, Phil Neville, akiongea na BBC Radio 5 na kuulizwa ikiwa Man United wanaweza kutwaa Ubingwa, alijibu: “Ndio wanaweza. Wachezaji wanaamini wanaweza kutwaa Ubingwa na pia Louis van Gaal anaamini hivyo hivyo.”

MECHI 6 AMBAZO UNITED IMESHINDA
8 Novemba: Crystal Palace 1-0 (Mata)-Old Trafford
22 Novemba: Arsenal 2-1 (Gibbs og, Rooney)-Ugenini
29 Novemba: Hull 3-0 (Smalling, Rooney, Van Persie)-Old Trafford
2 Desemba: Stoke 2-1 (Fellaini, Mata)-Old Trafford
8 Desemba: Southampton 2-1 (Van Persie - 2)-Ugenini
14 Desemba: Liverpool 3-0 (Rooney, Mata, Van Persie)-Old Trafford
PosTeamPWDLFAGDPts
1Chelsea1612313613+2339
2Manchester City1611323314+1936
3Manchester United169432917+1231
4West Ham United168442719+828
5Southampton168262513+1226
6Arsenal167542819+926
7Tottenham Hotspur167362022-224
8Newcastle United166551822-423
9Swansea City166462119+222
10Everton165652724+321
11Liverpool166371922-321
12Stoke City165471821-319
13Aston Villa165471020-1019
14West Bromwich Albion164571520-517
15Sunderland1621041424-1016
16Crystal Palace163671924-515
17Burnley163671124-1315
18Queens Park Rangers1642101730-1314
19Hull City162771523-813
20Leicester City1624101527-1210


Chapisha Maoni