Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Mario Balotelli has been fined, suspended and ordered to attend educational classes after a  social media post



MSHAMBULIAJI mtukutu  wa Liverpool Mario Balotelli amefungiwa na FA, Chama cha Soka England, Mechi moja na kupigwa Faini Pauni 25,000 kwa kuposti kwenye Mtandao wa Instagram maneno ambayo baadhi yao yametuhumiwa kuwa ni ya Kibaguzi ambayo imeendelea kuzua mijadala zaidi kuhusu mchezaji huyo ambapo  Mwezi huu, Balotelli alitoa Posti kwenye Instagram ikiwa na Karagosi wa Mchezo wa Kompyuta ‘Super Mario’ na kuandika maneno ambayo baadhi yao yametuhumiwa kuwa ni ya Kibaguzi.

 baada ya shutuma dhidi yake kuanza, Balotelli aliifuta Posti hiyo kwenye Instagram na pia kujibu shutuma hizo kwenye Mtandao wa Twitter na kusema: ‘Mama yangu ni Myahudi kwa hiyo wote nyamazeni tafadhali!’alisema super malio.

Balotelli's ban comes in reaction to the



Chapisha Maoni