Mabondia
Ibrahimu Maokola na Selemani Mkalakala wakitunishiana misuli baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa
na chama cha TPBC utakaofanyika ijumaa katika ukumbi wa Vigae classic
Mbagala Zakhem Picha na SUPERDBOXING NEWS |
Bondia Ibrahimu Maokola akipima uzito
kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani Mkalakala
kushoto kulia ni Rais wa TPBC Chaurembo Palasa mpambano utakaofanyika
ijumaa ya Desemba 19 katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem
Picha na SUPERDBOXING NEWS
Saleh Mkalekwa akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Abdalaaha Mohamedi mpambano utakaofanyika ijumaa ya Desemba 19 katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem
Picha na SUPERDBOXING NEWS
Dr Hesea Ronard akimpima afya bondia Ibrahimu Maokola kwa ajili ya mpambano wake wa kesho Ijumaa
Chapisha Maoni