Azam FC na Gor Mahia ya Kenya kwenye wanatarajia kukutana katika mchezo wa fainali ya Kagame Cup baada ya kuifunga KCCA leo. ...
JERRY MURO AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
TAARIFA TOKA KWA JERRY MURO MKUU WA IDARA YA HABARI YANGA. “Ndugu zangu Wana family Ya Michezo Tanzania,Kwa masikitiko nawajulisha ku...
ARSENAL v CHELSEA, JUMAPILI. NGAO YA JAMII
NGAO YA Jamii huko England ndio Mechi ya fungua dimba Msimu mpya na hushindaniwa kati ya Mabingwa Watetezi wa England na waliobeba ...
NUSU FAINALI KAGAME KIINGILIO BUKU TATU TU, AZAM FC vs KCCA
Hatua ya nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kuendelea kes...
UZI MPYA WA SIMBA WAKISHIRIKIANA NA JUMIA.CO.TZ
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba za 2015 – 2016 kupitia duka la mtandao la Jumia w...
NUSU FAINALI KAGAME CUP
2015-07-31 13:45 KHARTOUM N Vs GOR MAHIA 16:15 KCCA Vs AZAM FC
TUIUNGE MKONO AZAM FC KAGAME
Na Saleh Ally TIMU nne zimebaki katika michuano ya Kombe la Cecafa inayoendelea na Tanzania imebaki na timu moja timu. Waka...
RATIBA, MATOKEO ROBO FAINALI KAGAME CUP
ROBO FAINALI MATOKEO Jumanne Julai 28, 2015 APR 0 Al Khartoum 4 Gor Mahia 2 Malakia 1 RATIBA Jumatano Julai...
GOR MAHIA YASHITAKIWA CECAFA
Kamati ya ndani ya uendeshaji wa mashindao ya kombe la Kagame nchini Tanzania (LOC) imewasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa CECAFA...
YANGA USO KWA USO NA AZAM FC ROB FAINAL KAGAME CUP
LICHA ya kukosa mabao mengi Amissi Tambwe ameipeleka yanga mdomoni mwa Azam Fc robo fainali kwakufunga bao lake katika kipindi cha kw...
AZAM FC YAUA 5-0 KAGAME CUP
AZAM FC imefuzu kwa asilimia 100 Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ya kushinda mechi yake ...
RAIS OBAMA AKUTANA NA DADA YAKE AUMA OBAMA
Msemo wa kuwa damu ni nzito kuliko maji ulidhirika wazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi Kenya ij...
KIKWETE AZIDIWA NA YAYA TOURE[MAN CITY]
MSHAHARA WA WIKI MWAKA 1 Yaya Toure (Man City) £240,000 £13.5...
MPYA:MSIMAMO,RATIBA,MATOKEO YA KAGAME CUP
MSIMAMO: Kundi A 1-Al Khartoum (Sudan) Mechi 3 Magoli 8-2 Pointi 7 2-Gor Mahia (Kenya) Mechi 3 Magoli 6-3 Pointi 7 3-Yanga (Tanzania Bara)...
BENTEKE ATUA ANFIELD KWA £32.5M
Christian Benteke Benteke with Belgium in 2013 Personal information Full name Christian Benteke Liolo [1] Date of birth ...
MSIMAMO,RATIBA,MATOKEO KAGAME CUP BAADA YA MECHI ZA JANA
MSIMAMO: Kundi A12-Al Khartoum (Sudan) Mechi 2 Magoli 7-1 Pointi 6 2-Gor Mahia (Kenya) Mechi 2 Magoli 5-2 Pointi 6 3-Yang...
MAMILIONI YA OKWI YATUA DAR ES SALAAM
Klabu ya Simba sasa mambo yao safi baada ya fedha Sh milioni 220 kuingia katika akaunti yao. Fedha hizo ni malipo ya mauzo ...
MATOKEO KAGAME CUP YANGA YAUA 3-0
Mechi za leo 2015-07-22 FT KHARTOUM 2 : 1 KMKM 89 KCCA 1 : 0 ADAM CITY FT TELECOM 0 : 3 YANGA
MASHABIKI WA LEEDS UNITED WACHEZEA MKONG'OTO TOKA KWA EINTRACHT FRANKFURT
MASHABIKI wa Leeds United wamepewa mkong'oto na mashabiki wa Eintracht Frankfurt usiku wa jana baada ya mchezo wa kirafiki ba...
KMKM YABAMIZWA BAO 2-1 NA KHARTOUM-3 YA SUDAN KAGAME CUP
KHARTOUM N ya Sudan imeionyesha njia ya kurejea Zanzibar KMKM, baada ya kuifunga mabao 2-1 katika mchezo wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika ...
UTATA: OKWI KUREJEA SIMBA
NA MTANDAO WA IPP MEDIA Mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye uhamisho wake daima umekuwa ukizungukwa na maswali kila aendako, am...
MANCHESTER UNITED YASHINDA MAREKANI
Manchester United imeshinda 3-1 katika mechi yake ya pili ya maandalizi ya msimu mpya dhidi ya San Jose Earthquakes. Magoli ya Un...