Bondia Lulu Kayage kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde na kocha Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya n...
KUONA STARS VS MALAWI JUMATANO BUKU 5
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumatano kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Malawi (The Flam...
MCHEZAJI BORA WA MWENZI SIMBA ELFU 50
Simba inatarajia kurejea mazoezini kujiandaa na mechi yake ya Ligi Kuu Bara inayofuatia ambayo itakuwa ni dhidi ya Mbeya City. Pamoja n...
BRENDAN RODGERS OUT LIVERPOOL
Liverpool imemfukuza kazi Meneja wao Brendan Rodgers kuanzia Leo mara tu baada ya kutoka Sare 1-1 na Everton kwenye Dabi ya Merseyside ya Ma...
TP MAZEMBE YATISHA AFRICA,SAMATTA ATUPIA 2
Mazembe Imetisha africa , kufuatia mshambuliaji Mbwana Ally Samata kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya El Merreikh ya Sud...
ARSENAL YAIPASUA UNITED 3-0
ARSENAL Imeifumua man united bao 3-0 katika mchezo mgum wa kivutia,ligi kuu ya uingereza. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alex Sunchez 2 pam...
ARSENAL VS MAN U NI VITA LEO
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Saa za Bongo Jumapili Oktoba 4 1530 Everton v Liverpool 1800 Arsenal v Man United 1800 Swansea v Tottenham ...
MOURINHO HALI TETE
Jose Mourinho amedai hataachia ngazi kwa hiari yake kama Meneja wa Chelsea labda afukuzwe kazi. Jana Chelsea, ikiwa Nyumbani kwao Stamfo...
MECHI KALI ZA LEO LIGI KUU YA UINGEREZA
LIGI KUU ENGLAND RATIBA:. Saa za Bongo Jumapili Oktoba 4 1530 Everton v Liverpool 1800 Arsenal v Man United 1800 Swansea v Tottenham ...
BLATTER ATAKIWA KUJIUZULU KABLA YA MWAKANI LAKINI ALICHOKISEMA HIKI HAPA.
Rais wa shirikisho la kandada duniani FIFA Sepp Blatter, amekataa wito kutoka kwa baadhi ya wafadhili wakuu wa shirikisho hilo wa kumtaka ...
MPIRA WA TANZANIA UPO CHINI AFRICA MASHARIKI
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka ya Afri...
RATIBA MECHI MBALI MBALI
Ongeza saa moja kwa muda ulioandikwa hapo chini 03 October 2015 CAF Champions League 2015 21:30 USM Alger (Algeria) v Al Hilal (Sudan) O...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA WIKENDI HII KWA SAA ZA BONGO
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Saa za Bongo Jumamosi Oktoba 3 1445 Crystal Palace v West Brom 1700 Aston Villa v Stoke 1700 Bournemouth v W...
MAAMUZI YA MBEYA CITY KUHUSU NYOSO HAYA HAPA SOMA KWA KINA
TAARIFA KWA UMMA JUU YA SUALA LA JUMA NYOSO By Mbfc_admin | October 2, 2015 Leave a comment Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana tar...
COASTA AACHWA TIMU YA TAIFA
Kocha wa Uhispania Vicente de Bosque amemuacha nje mshambuliaji wa timu hiyo Diego Costa kwa mechi mbili za kufuzu kwa michuano ya mabing...
MSIMAMO & RATIBA LIGI KUU YA VODACOM
LIGI KUU VODACOM RATIBA Jumamosi Oktoba 3 Mgambo Shooting v Coastal Union Majimaji FC v Mwadui FC Toto Africans v JKT Ruvu Jumapili Ok...
RATIBA LIGI DARAJA LA KWANZA LIPULI VS POLISI MORO NI VITA WIKENDI HII
Ligi Daraja la Kwanza nchini (StarTimes First League) inaendelea wikiendi hii kwa makundi yote matatu kucheza, michezo 11 itachezwa mwi...
KILIMANJARO STARS KUCHEZA CHALENJI ETHIOPIA
Timu ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imedhibitisha kushiriki michuano ya Chalenji itakayofanyika nchini Ethiopia kuanzia...
STARS YAANZA MAZOEZI TAYARI KUIKABIRI MALAWI
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimeanza mazoezi leo mchana katik...
MALINZI ATUMA PONGEZI KWA TOMBI NA SIMAGO
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salam za pongezi kwa Alberto Simago Junior wa Shirikisho la Soka la Ms...