RATIBA MECHI MBALI MBALI DUNIANI KOTE
RATIBA MECHI MBALI MBALI DUNIANI KOTE ONGEZA SAA MOJA MBELE KWA MUDA ULIOANDI...
RATIBA LIGI KUU KAZI IPO SIMBA VS MAJI MAJI,YANGA VS KAGERA
LIGI KUU VODACOM RATIBA: Jumamosi Oktoba 31 Simba v Majimaji FC Kagera Sugar v Yanga Mtibwa Sugar v Mwadui FC Tanzania Pri...
RATIBA CLUB BINGWA AFRICA AKINASAMATA KAZI KAZI
CAF CHAMPIONZ LIGI FAINALI Ratiba Saa za Bongo Jumamosi Oktoba 31 2230 Union Sportive Medina d’Alger [Algeria] v TP Mazembe [Congo, DR...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA WIKENDI HII
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Saa za Bongo Jumamosi Oktoba 31 1545 Chelsea v Liverpool 1800 Crystal Palace v Man United 1800 Man City v Nor...
MATOKEO & RATIBA LIGI KUU
LIGI KUU VODACOM MATOKEO: Jumatano Oktoba 28 Toto African 1 Mgambo Shooting 0 Mwadui FC 2 Yanga 2 Mtibwa Sugar 1 Kagera Sugar 0 Mbeya ...
WAGOMBEA SABA URAIS FIFA HAWA HAPA
Majina ya viongozi saba watakaowania urais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa yametangazwa. Vigogo hao ni Prince Ali bin al-Husse...
STARS KWENDA ALGERIA NA FASTJET
Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kusafiri na ndege ya binafsi ya ku...
TFF YAWAPONGEZA WABUNGE, MADIWANI
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa viongozi wa mpira wa miguu nchini waliochaguliwa kuwa wabunge...
CAF WAAMURU ZFA IONDOE MASUALA YA MPIRA MAHAKAMANI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo hii limeamuru Kamati ya muda inayoongoza Chama cha Mpira Zanzibar (ZFA) iondoe maha...
MATOKEO RATIBA LIGI KUU AZAM FC KAZI LEO
LIGI KUU VODACOM MATOKEO: Jumatano Oktoba 28 Toto African 1 Mgambo Shooting 0 Mwadui FC 2 Yanga 2 Mtibwa Sugar 1 Kagera Sugar 0 Mbeya ...
SOKA
Na Alex Mapunda,Iringa MENEJA wa timu ya Maji Maji God Mvula amesema waamuzi wanaikosesha ushindi timu yao katika viwanja vya ugenini. Mv...
MATOKEO CAPITAL ONE CUP MAN U CHALI
Capital One Cup Raundi ya 4 Matokeo: Liverpool 1 Bournemouth 0 Manchester City 5 Crystal Palace 1 Southampton 2 Aston Villa 1 Manchest...
YANGA YASIMAMISHWA,SIMBA YAPETA
YANGA Leo imetoka sare na mwadui FC ya bao 2-2. Magoli ya yanga yamefungwa na Ngoma. Mechi nyingine Simba imeshinda bao 1-0 dhidi ya wagosi...
KIIZA KUKOSA MCHEZO WA LEO
Mshambuliaji wa Simba, Mganda, Hamisi Kiiza, leo Jumatano anaweza kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara wakati timu yake itakapopambana na Co...
LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA LEO
LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA LEO Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, ik...
MKWASA ATANGAZA KIKOSI CHA OMANI
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha timu ya taifa kilicho tayari kupambana na Alge...
TWIGA STARS KIBARUANI DHIDI YA MALAWI
Timu ya taifa ya soka ya wanawake 'Twiga Stars', inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya wanawake ya Malawi ...
MASIKINI MOURINHO FA WAMSHUKIA TENA
MENEJA wa Chelsea Jose Mourinho amefunguliwa tena Mashitaka ya Utovu wa Nidhamu na FA, Chama cha Soka England, kufuatia kauli na matendo ...
MECHI YA KUMUENZI ROONEY KUPIGWA MWAKANI
KEPTENI wa Manchester United Wayne Rooney ameruhusiwa kufanyiwa Mechi ya Kumuenzi na mapato yote ya Mechi hiyo kwenda kwenye Mifuko ya Hi...
MAYWEATHER ASTAAFU RASMI NDONGA
Mashabiki wengi wa ngumi wamekuwa hawaamini kama bondia Floyd Mayweather amestaafu kweli baada ya kucheza mechi 49. Wengi wanaamini ...
KOCHA WA TOTO OUT!!!!!!
Taarifa iliyoufikia mtandao huu hivi punde ni kwamba, kocha wa Toto Africans Martin Grelics amejiuzulu. Hii hapa ni barua rasmi ya kujiuz...
DABI YA MACHESTER KAZI IPO LEO.
JUMAPILI Jiji la Manchester huko England leo Linazizima kwa Dabi ya 170 kati ya Mahasimu Manchester United na Manchester City katika Mech...
MATOKEO $ RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA
RATIBA: Saa za Bongo Jumapili Oktoba 25 1500 Sunderland v Newcastle 1705 Bournemouth v Tottenham 1705 Man United v Man City 1915 Liver...
TAARIFA KUZAGAA KUWA KOCHA WA SIMBA KAKALIA ‘KUTI KAVU’ SIMBA YAKANUSHA.
Baada ya taarifa kuzagaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kwamba kocha mkuu wa ‘wekundu wa Msimba...