LIGI KUU VODACOM MATOKEO: Jumatano Septemba 30 African Sports 0 Mgambo 1 Azam FC 2 Coastal Union 0 Kagera Sugar 0 JKT Ruvu 0 Mtibwa Su...
YANGA YAIVUNA MTIBWA ,SIMBA YAICHINJA STAND
Timu ya simba imeibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Joseph kimwaga dhidi stand united. Kwa upande wa yanga wameibamiza Mtibwa bao ...
LEWANDOWSKI YUPO KWENYE NJIA APIGA TATU MABINGWA ULAYA,MECHI TATU BAO 10
B ayern Munich imeendelea kutoa vipigo safari hii kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dinamo Zagreb kwa mabao 5-0. Bayen am...
UEFA RATIBA & MATOKEO
UEFA CHAMPIONZ LIGI RATIBA Jumatano 30 Septemba 2015 KUNDI A Malmö FF v Real Madrid Shakhtar Donetsk v Paris St Germaine KUNDI B CSK...
VPL NI VITA
VPL KUENDELEA VIWANJA SABA Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa timu 14 kucheza katika viwanja saba ...
U 15 KWENDA TANGA LEO
U15 KWENDA TANGA LEO Kikosi cha Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) kinatarajiwa kusafiri Leo Jumatano kuelekea ji...
NYOSO APIGWA MVUA 2 NA FEDHA JUU
Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu ime pitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchin...
TAZAMA MAGOLI PORTO VS CHELSEA
FC Porto vs Chelsea 2-1 All Goals [29.9.2015] Cha…: http://youtu.be/TTMFnK6i3yY
WALICHOSEMA MBEYA CITY KUHUSU NYOSO DHIDI YA BOKO
MBEYA CITY COUNCIL FOOTBALL CLUB TAARIFA KWA UMMA Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana leo tarehe 29.09.2015 kwa dharula kulijadili sual...
ANACHOTAKA KUFANYA PACAUIAO HIKI HAPA
Bondia nyota toka Ufulipino, Manny Pacquiao sasa atarejea baada ya matibabu ya bega. Awali alifanyiwa upasuaji baada ya kupoteza pamban...
ZIFUATAZO NI SAJILI AMBAZO ZILIWAI KUGONGA MWAMBA DUNIANI DAKIKA ZA MWISHO
sajili ambazo zilikwama dakika za mwisho na kuhusishwa na figisufigisu kibao kutoka pande fulani fulani, karibu kutazama hapa chini… FAB...
YANGA IPO MORO TAYARI KWA KUIVAA MTIBWA KESHO
Yanga wametua mjini Morogoro, mwenyeji wao naye amewakaribisha kwa kuwa yuko tayari kwa kazi ya kesho Jumatano. Kocha Mkuu wa Mtibwa Su...
TRAILER YA MUVI YA RONALDO MUVI KAMILI NOVEMBA MWAKA HUU
Ronaldo film Trailer: http://youtu.be/33gTb1v3wds
ALICHOKISEMA IVO MAPUNDA KUHUSU NYOSO
Kipa iliyewai kuchezea klabu za Tanzania Prisons, Moro United, Yanga SC, St.George ya Ethiopia, African Lyon, Bandari FC na Gor Mahia FC ...
RATIBA YA UEFA LIGI MAKUNDI KUPIGWA LEO
UEFA CHAMPIONZ LIGI RATIBA Jumanne 29 Septemba 2015 KUNDI E Barcelona v Bayer Leverkusen BATE Borislov v AS Roma KUNDI F Arsenal v Ol...
KITENDO CHA NYOSO AZAM YAKEMEA
Klabu ya Azam FC, imeeleza masikitiko yake kutokana na beki Juma Nyosso kumshika makalio nahodha wake, John Bocco kwa lengo la kumdhali...
KIKOSI CHA STARS KITAKACHOIVAA MALAWI HIKI HAPA
Kocha Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi ambacho kitaingia kambini Alhamisi tayari kuanza kujiwinda kwa ajili ya Malawi. Stars ...
WACHEZAJI YANGA WAKOMBA MANOTI
Ushindi wa mabao 2-0 wa Yanga dhidi ya Simba juzi kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, umewafanya wakombe mamilioni. Yanga ilionja uhondo wa ...
RATIBA UEFA LIGI ULAYA HATUA YA MAKUNDI
UEFA CHAMPIONZ LIGI RATIBA Jumanne 29 Septemba 2015 KUNDI E Barcelona v Bayer Leverkusen BATE Borislov v AS Roma KUNDI F Arsenal v O...
CAF CHAMPIONI LIGI RATIBA/MATOKEO:
CAF CHAMPIONZ LIGI Nusu Fainali RATIBA/MATOKEO: Jumamosi Septemba 26 El Merreikh 2 TP Mazembe 1 Jumapili Septemba 27 Al-Hilal v Union ...
AZAM YAUA CHAMAZI
Kikosi cha Azam FC kimeendeleza ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City katika mechi iliyopigw...
YANGA YAUA TAIFA YAIPASUA SIMBA 2-0
TIMU ya yanga leo hii imefuta uteja Baada ya kuibamiza Simba bao 2-0 Mabao ya yanga yamefungwa na Busungu pamoja na Tambwe. SIMBA.... 1. ...
SIMBA VS YANGA TAZAMA VIKOSI MECHI IMEANZA
SIMBA.... 1. Peter Manyika 2. Hassan Kessy 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Hassan Isihaka 5. Juuko Murshid 6. Justice Majabvi 7. M...
RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKENDI HII
LIGI KUU ENGLAND RATIBA Ligi Kuu England: Saa za Bongo Jumamosi Septemba 2 1445 Tottenham v Man City 1700 Leicester v Arsenal 1700 L...
LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA WIKENDI HI
LIGI KUU VODACOM RATIBA Jumamosi Septemba 26 Simba v Yanga Coastal Union v Mwadui Tanzania Prisons v Mgambo Shooting JKT Ruvu v Stand...
RATIBA SERIA A JUVE VS NAPOLI NI VITA
SERIE A RATIBA Jumamosi Septemba 26 1900 AS Roma v Carpi 2145 SSC Napoli v Juventus FC Jumapili Septemba 27 1330 Genoa CFC v AC Milan ...
VIINGILIO SIMBA VS YANGA,RATIBA YA LIGI
VIINGILIO: -VIP A: Sh. 30,000/= -VIP B & C: Sh 20,000/= -VITI RANGI YA BLU, KIJANI & ORANGE: Sh 7,000/= MAUZO TIKETI: -Kuanza...
MATOKEO& RATIBA LIGI KUU
MATOKEO: Jumamosi Septemba 19 Yanga 4 JKT Ruvu 1 Stand United 2 African Sports 0 Mgambo Shooting 1 Majimaji 0 Tanzania Prisons 1 Mbeya ...
RATIBA UEFA LIGI HATUA YA MAKUNDI
UEFA CHAMPIONZ LIGI Mechi za Makundi Mechi zote kuanza Saa 3 Dak 45 Usiku, Bongo Taimu Jumanne Septemba 15 Man City v Juventus PSV Ei...
MALINZI AZINDUA KAMBI YA U-13 WATAKAOCHEZA FAINALI U-17 ZA AFRIKA 2019 NCHINI TANZANIA!
MALINZI AZINDUA KAMBI YA U-13 WATAKAOCHEZA FAINALI U-17 ZA AFRIKA 2019 NCHINI TANZANIA! Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF...