The Wikiendi ijayo Sam Allardyce atakuwa kocha wa kwanza kufundisha vilabu viwili pinzani vya Sunderland na Newcastle, wakati at...
WANAUME WALIOFUZU EURO 2016 HAWA HAPA
WENYEJI : Ufaransa KUNDI A: Iceland, Czech Republic KUNDI B: Belgium, Wales KUNDI C: Spain, Slovakia KUNDI D: Germany, Poland KUND...
BRAZIL YAISHINDA ARGENTINA YABANWA
KOMBE LA DUNIA 2018 Saa za Bongo [Mechi kuchezwa Usiku wa Leo Jumanne kuamkia Jumatano] Jumatano Oktoba 14 Ecuador 2 Bolivia 0 Uruguay ...
KIKWETE KAZI IPO MECHI NA ALGERIA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema timu ya soka ya taifa, Taifa Stars ina mtihani mgumu mbele ya...
KIMENUKA ZANZIBAR VIONGOZI ZFA KIKAANGONI KAMATI MPYA YAUNDWA
Na Ameir Khalid, ZANZIBAR SIKU moja baada ya Mahakama Kuu ya Zanzibar kuwaamuru viongozi wa juu wa Chama cha Soka (ZFA) kuondoka madarak...
VAN PERSE AIKWAMISHA UHOLANZI LICHA YA KUIFUNGIA BAO
Uholanzi haitakuwepo katika michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa baada ya kuchapwa mabao 3-2 na wageni wake Czech Republic. Mshambuli...
KIKWETE ASHANGAA VIONGOZI WA MICHEZO KUJIITA MARAIS WAKATI MICHEZO INADUMAA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kwamba siku hizi watu wanapenda umaarufu wa vyeo vya klabu na...
LIGI KUU YA VODACOM KIVUMBI NA JASHO WIKENDI
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, ikiwa ...
BAADA YA KUCHEZEA VIPIGO BRAZIL,ARGENTINA KUJARIBU BAHATI ZAO LEO
KOMBE LA DUNIA 2018 Marekani ya Kusini-Mechi za Mchujo Saa za Bongo (Mechi hizi kuchezwa Usiku wa Leo Jumanne kuamkia Jumatano) Jumatano...
MAN UNITED YAINGIZA WATATU MAUZO YA JEZI TOP TEN
LISTI KAMILI IPO HIVI 1) Lionel Messi – Barcelona 2) Cristiano Ronaldo – Real Madrid 3) Memphis Depay – Manchester United 4 Bastian Schw...
SAMATTA KUUANIA MCHEZAJI BORA AFRICA KWA MARA YA TATU
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta kwa mara ya pili ameingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya Mwanasoka Bora w...
STARS YAPIGWA BAO 1-0 NA MALAWI
Taifa Stars imepoteza mechi yake dhidi ya Malawi kwa kufungwa bao 1-0 mjini Blantyre, lakini imesonga mbele katika mechi hizo za awali ...
MAJI MAJI KUSUKA SAFU YA USHAMBULIAJI
BECHI la ufundi la timu ya Maji Maji limejipanga kuinoa zaidi safu ya ushambuliaji ya timu hiyo ili kujihakikishia uwingi wa mabao katika me...
MANCHESTER CITY HALI TETE BAADA YA AGUERO KUUMIA
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Sergio Aguero anatarajiwa kukaa nje kwa mwezi mmoja baada ya kupata jeraha nyuma ya goti lake wa...
STARS TAYAR KWA KAZI MALAWI
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager kimewasili salama katika mji w...
KLOPP ASAINI MIAKA MITATU LIVERPOOL
Jürgen Norbert Klopp – Wasifu wake: -Kuzaliwa: 16 Juni 1967 (Miaka 48) Mahali: Stuttgart, West Germany -Uchezaji Timu za Vijana: 1975–...
DANY MRWANDA KUKOSA IRINGA DABI WIKENDI HII
MSHAMBULIAJI mahiri wa Lipuli ya Iringa Dany Mrwanda atakosa pambano kali kati ya Kurugenzi na timu yake ya Lipuli, kufuatia kutumikia kadi...
MESSI NA BABA YAKE WASHITAKIWA KWA WIZI
Jaji mmoja nchini Uhispania ameagiza kwamba nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi, ni sharti ashtakiwe kwa mashtaka ya kuibia...
STAR TV WALA SHAVU LIGI DARAJA LA KWANZA
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,00...
YA NYOSO YATOKEA AFRIKA KUSINI
Yale yake unaweza kusema hivyo baada ya mchezaji wa timu ya taifa ya mchezo wa raga ya Afrika Kusini kumng’ata mwenzake. Kupitia picha i...
KAMATI YATAKA BLATTER ATEMWE.
Kamati ya maadili katika shirikisho la soka duniani FIFA imependekeza Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA asimamishwe kazi kwa siku tisa...
MESSI HURU BABA YAKE HATARINI KUFUNGWA
Mamlaka za uendeshaji Kesi huko Spain zimeamua kumfutia Mashitaka Lionel Messi ya ukwepaji Kodi. Mamlaka hizo zimetoa uamuzi huo baada y...
STARS YAFANYA KWELI TAIFA YAIFUMUA MALAWI 2-0
TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeibamiza Malawi mabao 2-0 yaliyofungwa na Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Samatta ndiye al...
LIVERPOOL YAKARIBIA KUPATA KOCHA MPYA
Klabu ya Liverpool inakaribia kumteua meneja wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund Jurgen Klopp. Majogoo hao wa jiji la Liverpool wanat...
ALICHOKISEMA SAMATTA KUELEKEA MECHI YA STARS NA MALAWI LEO
Mbwana Samatta Jina kamili Mbwana Aly Samatta tarehe ya kuzaliwa 7 Januari 1992 (umri 23) mahali pa kuzaliwa Dar es Salaam, Tanzania Ms...
UNAFAHAMU KUNA MMEA UNAKULA WAFAFU SOMA HAPA.
Mmea mmoja unaokula wadudu unatumia nguvu za matone ya mvua ili kuwakamata wadudu hao,wanasayansi wamebaini. Wanasayansi hao kutoka chuo ...
MESSI MAJANGA KAKA YAKE MKUBWA AKAMATWA KWA KUTUMIA SLAA BILA KIBARI,YEYE MWENYEWE WANAKESI YA KUKWEPA KODI HISPANIA
Kakaake mkubwa nyota wa timu ya Argentina na Barcelona Lionel Messi amekamatwa kwa kumiliki bunduki bila kibali. Matias Messi alisimamish...
MOURINHO ATABIRI KUFUNGIWA NA FA YATIMIA KWELI
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amefunguliwa mashitaka na FA, Chama cha Soka England, kwa utovu wa nidhamu. Maneno ambayo yanaweza kumsul...
MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018 KWA TIMU ZA AFRIKA
KOMBE LA DUNIA 2018 Afrika-Raundi ya Awali Saa za Bongo Jumatano Oktoba 7 15:30 Seychelles v Burundi 16:00 Tanzania v Malawi 16:30 So...
MKWASA ‘AIMWAGA’ YANGA, SASA STARS KIMOJA, STARS KAMILI KUIVAA MALAWI JUMATANO!
Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kipindi cha mwaka mmoja ...
MKWASA AJIPIGA PINGU STSRS
Hatimaye Kocha Charles Boniface Mkwasa amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuinoa Taifa Stars. Mkwasa amesaini mkataba wa kuinoa Stars amba...
BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WA DESEMBA 25
Bondia Lulu Kayage kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde na kocha Hamisi Belege wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya n...
KUONA STARS VS MALAWI JUMATANO BUKU 5
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Jumatano kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Malawi (The Flam...
MCHEZAJI BORA WA MWENZI SIMBA ELFU 50
Simba inatarajia kurejea mazoezini kujiandaa na mechi yake ya Ligi Kuu Bara inayofuatia ambayo itakuwa ni dhidi ya Mbeya City. Pamoja n...
BRENDAN RODGERS OUT LIVERPOOL
Liverpool imemfukuza kazi Meneja wao Brendan Rodgers kuanzia Leo mara tu baada ya kutoka Sare 1-1 na Everton kwenye Dabi ya Merseyside ya Ma...
TP MAZEMBE YATISHA AFRICA,SAMATTA ATUPIA 2
Mazembe Imetisha africa , kufuatia mshambuliaji Mbwana Ally Samata kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya El Merreikh ya Sud...
ARSENAL YAIPASUA UNITED 3-0
ARSENAL Imeifumua man united bao 3-0 katika mchezo mgum wa kivutia,ligi kuu ya uingereza. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Alex Sunchez 2 pam...
ARSENAL VS MAN U NI VITA LEO
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Saa za Bongo Jumapili Oktoba 4 1530 Everton v Liverpool 1800 Arsenal v Man United 1800 Swansea v Tottenham ...
MOURINHO HALI TETE
Jose Mourinho amedai hataachia ngazi kwa hiari yake kama Meneja wa Chelsea labda afukuzwe kazi. Jana Chelsea, ikiwa Nyumbani kwao Stamfo...
MECHI KALI ZA LEO LIGI KUU YA UINGEREZA
LIGI KUU ENGLAND RATIBA:. Saa za Bongo Jumapili Oktoba 4 1530 Everton v Liverpool 1800 Arsenal v Man United 1800 Swansea v Tottenham ...
BLATTER ATAKIWA KUJIUZULU KABLA YA MWAKANI LAKINI ALICHOKISEMA HIKI HAPA.
Rais wa shirikisho la kandada duniani FIFA Sepp Blatter, amekataa wito kutoka kwa baadhi ya wafadhili wakuu wa shirikisho hilo wa kumtaka ...
MPIRA WA TANZANIA UPO CHINI AFRICA MASHARIKI
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka ya Afri...
RATIBA MECHI MBALI MBALI
Ongeza saa moja kwa muda ulioandikwa hapo chini 03 October 2015 CAF Champions League 2015 21:30 USM Alger (Algeria) v Al Hilal (Sudan) O...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA WIKENDI HII KWA SAA ZA BONGO
LIGI KUU ENGLAND RATIBA: Saa za Bongo Jumamosi Oktoba 3 1445 Crystal Palace v West Brom 1700 Aston Villa v Stoke 1700 Bournemouth v W...